Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji Kajiado watumia teknolojia kuboresha vinasaba vya mifugo

  • | Citizen TV
    876 views
    Duration: 3:26
    Juhudi za kuendeleza sekta ya mifugo nchini Kenya zinaelekezwa zaidi kwenye uboreshaji wa aina za mifugo na uzalishaji. Katika Kaunti ya Kajiado, wafugaji wanatumia mbinu za kisasa za kuboresha vinasaba kwa lengo la kupata wanyama wenye nguvu na uwezo mkubwa wa uzalishaji. Kwenye Kilimo Biashara, Denis Otieno anaeleza jinsi mbinu hizi zinavyoimarisha uzalishaji wa mifugo katika kaunti hiyo.