Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji Ngong walilia chanjo dhidi ya ugonjwa wa mdomo na kwato

  • | Citizen TV
    479 views
    Duration: 3:10
    Wafugaji wa eneo la Ngong na maeneo jirani wameitaka Serikali ya Kaunti ya Kajiado kutoa chanjo na matibabu ya haraka dhidi ya ugonjwa wa mdomo na kwato, ambao umeathiri mamia ya mifugo katika maeneo hayo. Wafugaji hao wanakadiria kupata hasara kubwa tangu ugonjwa huo uanze kusambaa zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Serfine Achieng’ Ouma anaarifu.