5 Jun 2026 10:35 am | Citizen TV 340 views Duration: 1:47 Ni afueni kwa wakulima mia sita eneo bunge la Wundanyi kaunti ya Taita Taveta baada ya kupokea matanki yenye uwezo wa kubeba lita elfu saba ya kuhufadhi maziwa kutoka kwa wizara ya kilimo nchini.