- 192 viewsDuration: 2:46Wafugaji wa nyuki katika msitu wa Wire kaunti ya Homa Bay sasa watapokea mafunzo kuhusu mbinu bora za ufugaji, zinazoshirikisha utunzaji wa mazingira wanaokoishi nyuki hao. Katika hafla iliyofanyika jijini Kisumu, wakulima hao pia walipewa mizinga mia sita, ili kupanua shuguli zao katika msitu huo. Na kama anayoarifu Laura Otieno, wafugaji hao wa nyuki walipewa hamasisho kuhusu uzalishaji ili kuwa na bidhaa zitakazosafirishwa hadi masoko ya nje kupitia miundomsingi kama vile SGR.