Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji wa nyuki Masinga waongeza thamani ya asali

  • | Citizen TV
    648 views
    Duration: 2:44
    Wafugaji wa nyuki katika Masinga, Kaunti ya Machakos, wamekuwa wakiongeza thamani ya asali kupitia mradi wa Chama cha Maendeleo ya Jamii cha Ndithini. Mpango huo unalenga kuwawezesha wafugaji wa nyuki kuongeza mapato na kunufaika zaidi na bidhaa ya asali.