Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji wahimizwa kuzalisha nguruwe wa kisasa ili kuongeza uzalishaji wa nyama

  • | Citizen TV
    618 views
    Duration: 1:43
    Kama njia ya kusaidia taifa kukidhi mahitaji ya nyama ya nguruwe yanayoendelea kuongezeka kila mwaka, wakulima waliojitosa katika ufugaji wa nguruwe wamehimizwa kuzingatia uzalishaji wa nguruwe wa kisasa wenye uwezo mkubwa wa kustahimili changamoto mbalimbali za mazingira.