Skip to main content
Skip to main content

Wafugaji wapewa mitambo ya kuhifadhi maziwa Tana River.

  • | Citizen TV
    337 views
    Duration: 1:29
    Ni afueni kwa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa katika kaunti ya Tana River baada ya serikali kuu kuwapa matenki ya kuhifadhi maziwa. Mradi huu utakaonufaisha wafugaji zaidi ya 600 pia utawezesha wafugaji hao kuepuka hasara wakati uzalishaji wa maziwa mengi na kuboresha hali ya usafi miongoni mwa wanachama wake.