26 Jun 2026 11:52 am | Citizen TV 218 views Duration: 2:08 Kenya yaendelea kuimarisha nafasi yake kama kinara wa uzalishaji wa maziwa barani Afrika, hatua itajwayo kuwa matokeo ya juhudi za wafugaji na uwekezaji uendeleao katika sekta ya mifugo.