- 655 viewsDuration: 1:27Shirika la kijamii limetoa huduma za matibabu bila malipo kwa wafungwa katika gereza la Ruman¬de, Nairobi. Katibu wa Idara ya Magereza, Beacco, amepongeza ushirikiano kati ya jamii na magereza katika kusaidia kuboresha ustawi wa wafungwa.