Skip to main content
Skip to main content

Waganga Afrika Kusini wavyotumia dawa haramu kutibu maradhi ya akili

  • | BBC Swahili
    1,809 views
    Duration: 1:39
    Ingawa dawa za ugonjwa wa akili ni haramu nchini Afrika Kusini, waganga wengi walioko mjini Cape Town wanatangaza waziwazi kwamba wanazijumuisha katika matibabu yao. BBC Africa Eye inachunguza sekta hii isiyodhibitiwa ya dawa za akili (psychedelics) jijini Cape Town, Afrika Kusini, ambapo wanaojiita 'waganga' wanatoa tiba katika mazingira yasiyodhibitiwa na serikali wala mamlaka yoyote rasmi. Kutazama makala hii kwa urefu zaidi tembelea YouTube ya BBCSwahili #bbcswahili #afrikakusini #upekuziwabbcafrikaeye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw