Skip to main content
Skip to main content

Wagombea 17 kupambania kiti cha urais

  • | BBC Swahili
    187 views
    Duration: 4:03
    Uchaguzi wa urais wa mwaka huu nchini Tanzania umeweka historia mpya baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuidhinisha rasmi jumla ya wagombea 17. Idadi hii ni kubwa zaidi ikilinganishwa na ile ya mwaka 2020 ambapo wagombea 15 pekee walijitokeza. @mrs.tadicha anatuelezea - - #bbcswahili #tanzania #siasa #uchaguzimkuu2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw