- 247 viewsDuration: 2:02Huku uchaguzi wa viongozi wa muungano wa walimu KUPPET ukitarajiwa kufanyika mapema mwezi Februari, baadhi ya walimu wa shule za upili na vyuo vya wastani kaunti ya Kilifi wanalalamikia uongozi wa muungano huo tawi la Kilifi kwa kutofungua ofisi ili kupokea stakabadhi za wawaniaji mbali mbali.