- 1,583 viewsDuration: 1:15Baadhi ya wanachama na wagombea wa UDA katika Kaunti ya Kisii wamelalamikia kile wanachodai ni kupuuzwa na uongozi wa kitaifa wa chama hicho. Wagombea hao wanataka uongozi wa chama kuwasikiliza na kushughulikia changamoto zao kuelekea uchaguzi wa 2027