Skip to main content
Skip to main content

Wagonjwa zaidi ya 100 kutoka hospitali ya rufaa ya Kisii wana afueni baada bili zao kufutiliwa mbali

  • | Citizen TV
    420 views
    Duration: 3:11
    Wagonjwa zaidi ya 100 kutoka hospitali ya rufaa ya Kisii wana kila sababu ya kutabasamu baada ya gavana wa kaunti hiyo kufutilia mbali bili zao za matibabu zilizosababisha wagonjwa hao kukwama hospitalini kwa muda mrefu.