Skip to main content
Skip to main content

Wahadhiri wapinga pendekezo la kushusha umri wa kustaafu

  • | Citizen TV
    1,052 views
    Duration: 1:50
    Wahadhiri wamepinga agizo la tume ya huduma za umma (Psc) kushusha umri wa kustaafu kutoka miaka 74 hadi 70, wakidai hawakushirikishwa na ni kinyume cha sheria. wameonya kuwa hatua hiyo itaviacha vyuo vingi bila wahadhiri wenye uzoefu ikiwa itatekelezwa.