Chama cha wahadhiri wa vyuo vikuu nchini, UASU, tawi la chuo kikuu cha Nairobi kimelaani vikali waraka mpya wa tume ya huduma za umma, PSC, unaopunguza umri wa kustaafu kwa wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma kikisema hatua hiyo itahatarisha mustakabali wa elimu ya juu nchini.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya