- 699 viewsDuration: 3:15Wafanyikazi 186 wa idara ya afya waliokuwa wanahudumu chini ya mpango wa UHC na waliokuwa chini ya ajira ya kanadarasi tangu wakati wa ugonjwa wa covid 19 wamepata ajira ya kudumu baada maafikiano kati ya serikali kuu na zile za kaunti, serikali ya Makueni ikiwa ya kwanza kuwaidhinisha katika ajira ya kudumu wafanyikazi hao