29 May 2026 10:43 am | Citizen TV 587 views Duration: 2:32 Licha ya wasiwasi wa msambao wa virusi vya Ebola katika kaunti ya mpakani ya Busia, wahudumu wa afya zaidi ya 900 katika hospitali za umma za kaunti hiyo waanza mgomo , wagonjwa waliolazwa walazimika kuondoka kwenye wodi.