29 May 2026 11:07 am | Citizen TV 185 views Duration: 1:27 Wahudumu wa afya katika kaunti ya Embu wasitisha mgomo wao wa siku 16 baada ya serikali ya kaunti hiyo kulipa mishahara ya mwezi Aprili iliyokuwa imecheleweshwa.