18 Jun 2026 1:15 pm | Citizen TV 766 views Duration: 1:57 Ni afueni kwa madaktari na wahudumu wa afya, hasa katika hospitali za maeneo ya Maasai Mara, eneo bunge la Narok Magharibi, baada ya wataalamu kuwapa mafunzo ya dharura kuhusu jinsi ya kuwahudumia watu walioumwa na nyoka.