Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa afya mashinani katika kaunti ya Bungoma wapokea mafunzo kuhusu ebola

  • | Citizen TV
    123 views
    Duration: 1:17
    Katika juhudi za kuthibiti ugonjwa wa Ebola, wahudumu wa afya mashinani katika maeneo bunge ya Kanduyi na Sirisia Kylee kaunti ya Bungoma wapatiwa mafunzo na maafisa wa Wizara ya Afya pamoja na wataalamu wa afya.