Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa afya wa UHC waandamana wakitaka ajira za kudumu na pensheni

  • | Citizen TV
    727 views
    Duration: 1:03
    Wahudumu wa afya walioajiriwa chini ya mpango wa Universal Health Coverage (UHC) wamefanya maandamano ya amani katika uwanja wa Green Park jijini Nairobi wakitaka serikali kuharakisha utekelezaji wa ajira za kudumu na zenye haki ya pensheni. Maandamano hayo yameungwa mkono na vyama mbalimbali vya sekta ya afya, huku Mwenyekiti wa Chama cha Wauguzi nchini, Joseph Ngwasi, akisisitiza umuhimu wa upandishaji vyeo na kutaka ufadhili wa mpango wa UHC kuwekwa chini ya Sheria ya Ugavi wa Mapato ili kulinda maslahi ya ajira ya wahudumu hao kwa muda mrefu.