Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa afya wanagenzi 12,720 watumwa hospitalini kote nchini

  • | Citizen TV
    542 views
    Duration: 1:02
    Wahudumu wa afya wanagenzi 12,720 wametumwa katika hospitali mbalimbali nchini kufuatia hafla iliyofanyika jijini Nairobi. Kulingana na Aden Duale, serikali imetenga shilingi bilioni 9.3 kufanikisha mpango huo, unaolenga kuongeza nguvu kazi katika sekta ya afya na kuboresha utoaji wa huduma za matibabu nchini.