4 Sep 2026 10:31 am | Citizen TV 369 views Duration: 2:10 Siku chache tu baada ya rais Wiliam Ruto kuzindua mpango wa kuwapa wahudumu wa afya ya jamii vifaa vya kufanyia kazi, sasa wahudumu wa afya kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali na wahisani kuwawezesha kiuchumi.