Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa boda boda waeleza jinsi walivyoshuhudia mkasa Utumishi Academy Gilgil

  • | Citizen TV
    4,806 views
    Duration: 2:32
    Wahudumu wa boda boda walikuwa miongoni mwa watu wa kwanza kufika katika shule ya wasichana ya Utumishi Academy, Gilgil, wakati mkasa wa moto ulipotokea. Wakisimulia hali ilivyokuwa kabla ya maafisa wa uokoaji wa Shirika la Msalaba Mwekundu (Red Cross) na vikosi vya kijeshi kufika eneo hilo, wahudumu hao wamesema walikuta hali ya taharuki na juhudi za awali za kuwaokoa wanafunzi zikiendelea kwa haraka.