Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Mombasa wataka kaunti itimize ahadi ilizotoa.

  • | Citizen TV
    1,085 views
    Duration: 2:11
    Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Mombasa watoa makataa ya siku saba wakitaka serikali ya kaunti kutimiza ahadi walizotia saini zaidi ya miaka mitatu iliyopita.