Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa bodaboda Kilifi wapewa mafunzo ya usalama barabarani

  • | Citizen TV
    96 views
    Duration: 1:46
    Washikadau katika sekta ya bodaboda wameandaa hafla ya kuwahamasisha wanabodaboda kuhusu usalama barabarani katika eneo la Malindi Kaunti ya Kilifi. Hafla hiyo ambayo imewaleta pamoja maelfu ya wanabodaboda Kaunti hiyo imelenga kupunguza ajali kupitia mafunzo kwa wanaboda boda na nia ya kuzingatia Sheria za barabarani kutokana na ajali nyingi Kaunti hiyo.