Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa bodaboda wapokea mafunzo Emali Makueni

  • | Citizen TV
    155 views
    Duration: 3:02
    Mamlaka ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA kwa ushirikiano na polisi wa trafiki wametoa mafunzo maalum kwa wahudumu wa bodaboda kutoka miji ya Emali na Kibwezi. Hatua hii imechukuliwa kutokana na ajali nyingi za bodaboda kwenye barabara ya Mombasa kuja Nairobi.