- 14,672 viewsDuration: 1:20Madereva na wamiliki wa magari mjini Kisii wanaendelea kulalamikia idadi ndogo ya abiria licha ya mgomo kuisha.Wengi wasema kuwa walilazimika kuongeza nauli kwa kiwango kidogo ila abiria waonekana kusuusia kuabiri magari kutokana na gharama ya usafiri.