- 3,252 viewsDuration: 2:09Wahudumu wa Matatu kwenye barabara ya Mwiki kuelekea Kayole wamesusia kazi wakilalamikia kukithiri kwa uhalifu na uvamizi wa kundi la vijana linalowatoza ada haramu katika kila steni ya orcefully soliciting money from the matatu operators at every stage, and when denied, they violently stab them.matatu. mgomo huo ulikatiza shughuli za usafiri katika maeneo ya Kasarani, Mwiki, Njiru, na Kayole, hali ambayo iliwaacha wasafiri kwenye njia panda baada ya kukosa namna ya usafiri. wahudumu hao wanadai kuwa mmoja wao alidungwa kisu na kuuwawa na kundi la vijana hao huku baadhi wakijeruhiwa. Aidha wanalalamika kuwa polisi hawachukui hatua zozote. Vijana hao wanadaiwa kutosha shilingi ishirini kwa kila abiria katika kila steni.