Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa tuktuk Mombasa watoa makataa kwa serikali ya kaunti

  • | Citizen TV
    2,462 views
    Duration: 1:57
    Wahudumu wa tuktuk katika kaunti ya Mombasa wametoa makataa ya siku saba kwa serikali ya kaunti kufutilia mbali faini za papo hapo pamoja na kusitisha usajili wa tuktuk mpya kisiwani Mombasa.