Skip to main content
Skip to main content

Wahudumu wa uchukuzi Malindi wakosa ufahamu wa sheria za barabarani

  • | Citizen TV
    399 views
    Duration: 1:54
    Asilimia kubwa ya wahudumu katika sekta ya uchukuzi mjini Malindi kaunti ya Kilifi hawana ufahamu kuhusu sheria za barabarani wakati wanapoendeleza shughuli zao. Haya yamebainika katika mkutano.