Skip to main content
Skip to main content

Waislamu waadhimisha Maulidi, wasisitiza umoja na huruma

  • | Citizen TV
    781 views
    Duration: 1:47
    Waislamu nchini wameadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Mohammed katika sherehe za Maulidi. Sherehe hizo zimeambatana na wito wa kuimarisha umoja, upendo na huruma miongoni mwa Waislamu na jamii kwa ujumla.