Skip to main content
Skip to main content

Wajane katika kaunti za Bungoma na Kakamega waitaka serikali kuwawezesha kiuchumi

  • | Citizen TV
    207 views
    Duration: 1:35
    Viongozi wa akina mama wajane kutoka maeneo bunge mbalimbali katika kaunti za Bungoma na Kakamega wakutana katika mkutano maalum uliolenga kuelimishana kuhusu nafasi na umuhimu wao katika jamii pamoja na mchango wao katika maendeleo ya taifa.Mkutano huo pia watoa fursa kwa wajane kujadili changamoto ambazo huwakabili na mbinu za kujikwamua kiuchumi kupitia vikundi vyao.