- 1,766 viewsDuration: 2:56Wanawake waliobaki kuwa wajane baada ya waume zao kuuawa katika shambulizi la kigaidi la Juni 2014 huko Mpeketoni walikusanyika katika Uhuru Park kuwakumbuka wapendwa wao. Walisema kumbukumbu hiyo ni fursa ya kuenzi maisha ya waliopoteza maisha, kuendelea kuombea amani na kutoa wito wa msaada zaidi kwa waathiriwa wa mashambulizi ya kigaidi.