24 Jun 2026 10:59 am | Citizen TV 904 views Duration: 1:29 Mamia ya wajane kutoka sehemu mbalimbali za nchi wakusanyika katika bustani ya Uhuru, jijini Nairobi, kuadhimisha siku ya kimataifa ya wajane.