Skip to main content
Skip to main content

Wajawazito 458 na watoto 75 wamefariki kutokana na mgomo wa wauguzi

  • | Citizen TV
    2,204 views
    Duration: 2:17
    Muungano wa wauguzi wasema kuwa wajawazito 458 na watoto 75 wamefariki tangu mgomo wa wauguzi uanze. Kaunti ya Kisumu, Nakuru, Kakamega na kajioado zimeathirika zaidi.