Skip to main content
Skip to main content

Wajawazito na walio na watoto wachanga kutoka eneo la Hamisi kaunti ya vihiga watibiwa bure

  • | Citizen TV
    141 views
    Duration: 2:08
    Mamia ya kina mama wajawazito na walio na watoto wachanga kutoka eneo la Hamisi kaunti ya vihiga wanufaika na matibabu ya bure ya kliniki yaliyoandaliwa na shirika la Musimbi Global likishirikiana na chuo kikuu cha Kaimosi.