Skip to main content
Skip to main content

Wajir yaandaa sherehe za Madaraka Day katika uwanja mpya wa kisasa

  • | Citizen TV
    3,848 views
    Duration: 3:55
    Sherehe za Madaraka Day zitafanyika kesho katika uwanja mpya wa Wajir, ambao umejengwa kwa takriban siku mia moja, wafanyakazi wakifanya kazi usiku na mchana kukamilisha mradi huo kwa wakati. Uwanja huo mpya umeleta manufaa kwa wakazi wa eneo hilo yakiwemo upatikanaji wa maji, umeme na hata barabara mpya, hatua inayotajwa kuimarisha miundombinu ya eneo hilo la Kaskazini Mashariki. Mwanahabari wetu Sam Gituku ametayarisha taarifa maalum inayoonyesha jinsi ujenzi wa uwanja huo ulivyotekelezwa na juhudi zilizowekwa kuhakikisha unakamilika kwa ajili ya maadhimisho ya kitaifa ya Madaraka Day.