Skip to main content
Skip to main content

Wajumbe wa Wiper wamuidhinisha Kalonzo kuwania urais

  • | Citizen TV
    18,006 views
    Duration: 2:52
    Chama cha Wiper Patriotic Front kimemuidhinisha rasmi kinara wa chama hicho Kalonzo Musyoka kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka wa 2027. Katika kongamanao la wajumbe wa chama hicho uliofanyika hapa jijini Nairobi, Kalonzo Musyoka amesema kuwa yuko tayari kuwarai vinara wengine wa upinzani kumuunga mkono katika mchakato wa kumuondoa Rais William Ruto mamlakani