Wakaazi wa maeneo mbali mbali katika kaunti ya Elgeyo Marakwet, haswa walioko katika maeneo yaliyokatika hatari ya maporomoko ya ardhi, wametakiwa kuchukua tahadhari, haswa baada ya Idara ya utabiri wa hali ya anga, kubashiri mvua ya El nino Katika maeneo mbali mbali katika wiki chache zijazo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya