Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi katika maeneo ya Chemelil na Chemase, eneo la Tinderet wapokezwa vyeti vya kumiliki ardhi

  • | Citizen TV
    166 views
    Duration: 2:14
    Wakazi wa Kapchure katika maeneo ya Chemelil na Chemase, eneo la Tinderet, wafaidika na hati miliki za ardhi, hatua ambayo serikali inalenga kutumia kumaliza migogoro ya mara kwa mara ichochewayo na umiliki wa ardhi.