Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi Kaunti ya Narok waanza kukumbatia umuhimu wa kulinda wanyama pori wa Maasai Mara

  • | Citizen TV
    834 views
    Duration: 2:10
    Baadhi ya washika dau ndani ya hifadhi ya Kitaifa ya mbuga kwa wanyama pori ya Maasai Mara washabikia kwa matumaini makubwa hatua ya Serikali ya Kaunti ya Narok kupitia idhinisho la kisheria kuidhinisha mswada wa kupewa hela kwa makundi ya uhifadhi wa maeneo yenye wanyamapaori.