18 Aug 2026 10:11 am | Citizen TV 589 views Duration: 2:10 Biashara zaathirika kwa takriban saa sita katika kijiji cha Kejiriet, wadi ya Soin, eneo bunge la Sigowet-Soin, baada ya zaidi ya wakazi 200 kuandamana kulalamikia hali mbovu ya barabara katika eneo hilo.