Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Khwisero waandamana kudai haki kufuatia mauaji ya aliyekuwa mwakilishi wadi

  • | Citizen TV
    269 views
    Duration: 1:46
    Wakaazi wa Kisa mashariki eneo bunge la Khwisero kaunti ya Kakamega wameandamana kudai haki kufuatia mauaji ya aliyekuwa mwakilishi wadi wa eneo hilo Stephen Maloba. Maloba aliuwawa miaka mitatu iliyopita na hadi sasa familia yake inasem akuwa haijapata haki. Wakaazi walijiunga na familia ya marehemu na kufanya maandamano ya amani na kuwasha mishumaa kama ishara ya kumbukumbu kwa marehemu. Maloba aliuwawa kwa kudungwa kisu alipokuwa amehudhuria mkutano wa hadhara.