Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Kisauni waitaka serikali kuharakisha mchakato wa utoaji wa hatimiliki za ardhi

  • | NTV Video
    145 views
    Duration: 1:12
    Wakazi wa eneo la Guu Ng’ombe-Mwakirunge katika eneo bunge la Kisauni wameitaka serikali ya kaunti ya Mombasa kuharakisha mchakato wa utoaji wa hatimiliki za ardhi ili waweze kunufaika kikamilifu na miradi ya maendeleo inayolengwa kutekelezwa katika eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya