Wakazi kutoka kijiji cha Ciagiini, Mwea, kaunti ya Kirinyaga walisitisha shughuli za mazishi ya kijana mwenye umri wa miaka 30 wakidai haki kwa kumshtumu askofu wa kanisa la Ambassadors for Christ Ministry kwa kumshambulia na kumuua.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya