4 Aug 2026 10:30 am | Citizen TV 318 views Duration: 2:34 Wakaazi wa Kijiji cha Nikaphu katika eneo bunge la Lungalunga kaunti ya Kwale wapinga mpango wa ugavi wa ardhi wa robo ekari kwa kila familia katika shughuli za kuwapa umiliki masqwota wa eneo hilo.