- 213 viewsDuration: 1:44Wakaaji eneo la Narok Magharibi wadi ya ilmotiok wameiomba serikali kuu kurekebisha kwa dharura. Daraja kuu inayounganisha maeneo ya kilimo ya Ngiito na Olereut ili kurahisisha mawasiliano kama ilivyokuwa awali. Wamedai kuwa daraja hilo ambalo limebomolewa kufuatia mafuriko katika mto Sigowet limeathiri usafiri na mawasiliano na hali hiyo itahatarisha maisha ya wanafunzi watakaporejea shuleni.