- 414 viewsDuration: 1:48Wakazi wa Kaunti ya Nandi wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la upandaji miti katika maeneo mbalimbali ya misitu wakati wa kuadhimisha Siku ya Mazingira, huku wasiwasi ukizidi kuongezeka kuhusu ukame wa muda mrefu unaoendelea kushuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini.